HAYA NI MAFURIKO YA CCM 

(Day 4/60 ya kampeni za CCM)

Wananchi wa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma wamefurika katika Viwanja vya Puma kumsubiri Mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt.Samia Suluhu Hassan ikiwa ni mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za CCM leo Agosti 31,2025.

#KigogoMediaUpdates

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000