Michezo

NIGERIA NA IVORY COAST ZATINGA FAINALI ZA AFCON

Hatimae Mabingwa mara tatu wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Nigeria wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Afrika Kusini. Ivory Coast, we [...]

3 months ago
News3 months ago

NIGERIA NA IVORY COAST ZATINGA FAINALI ZA AFCON

Hatimae Mabingwa mara tatu wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Nigeria wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Afrika Kusini. Ivory Coast, wen ....

News5 months ago

TASWIRA MPYA YA UWANJA WA AMAANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kujenga uwanja mpya mwingine wa kisasa ambao utatumika katika mashindano ya AFCON ....

News6 months ago

TAHADHARI ZA KIUSALAMA KUELEKEA MCHEZO WA SOKA KATI YA SIMBA NA YANGA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatambua kuwa Novemba 05, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam kutakuwa na mchezo wa sokamashindano ligi ya NBC baina timu ....

News8 months ago

Tajiri wa Simba ahofia kufa kwa presha

Kufuatia matokeo ya tia maji tia maji ya klabu ya Simba , tajiri wa wekundu hao wa Msimbazi bilionea MO ametahadharisha kuwa anaweza kuuwawa ghafla kwa pressure kali sana. Hii ni kufuatia timu ....

News8 months ago

Klabu ya Simba yafuzu kwa tabu sana.

Klabu ya Simba pamoja na kufuzu kwenda hatua ya makundi kwa kuchechemea lazima tukiri kuwa ni timu dhaifu sana na bomu inatocheza mpira kwa kubahatisha. Kwa kilichotokea leo ni kama Simba ni t ....

News10 months ago

Kaizer Chiefs watembelea Ikulu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dokta Hussein Mwinyi ameushukuru uongozi wa klabu ya Yanga kwa kuileta timu ya mpira wa miguu ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Ku ....

Newsa year ago

Yanga hakuko shwari

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka ndani ya kikao cha uongozi wa Yanga ni kwamba Rais wa Yanga Injinia Hersi amesusa na kutoka kwenye kikao baada ya mjumbe mmoja wa kikao hicho kumtuhumu ....

Newsa year ago

Idara ya habari ya klabu ya Yanga imejaa mbumbumbu

Kuna shida kubwa sana ya kitaaluma ndani ya idara ya habari ya klabu ya Yanga. Inawezekana aibu za kufanya mambo kinyume na taaluma na umakini ni jambo la kawaida ndani ya klabu yao ndiyo maan ....

Newsa year ago

Rais Samia atoa ombi kwa Yanga juu ya sakata la Fei Toto

Rais Samia ameitaka klabu ya Yanga kumalizana na mchezaji wao Fei Toto aliyevunja mkataba wa kuendelea kubakia klabuni hapo. Kauli hii imetokewa leo wakati Mheshimiwa Rais akiongea na wachezaj ....

Newsa year ago

Man City bingwa FA Cup

Klabu ya Manchester City imechabanga klabu ya Manchester United magoli mawili kwa moja na kutwaa kombe la FA. Fainali hiyo ilipigwa kwenye uwanja wa Wembley jioni ya leo.