Siasa

Newsa month ago

KATIBU MKUU WA CCM KATIKA MOJA YA MIKUTANO YAKE.

(✍🏻 na mwandishi wetu)  Katibu Mkuu wa CCM   Dokta Emmanuel Nchimbi akiwa  katika moja ya mikutano ya ziara yake amesema; “Siasa ya vyama vingi sio ugom ....

Newsa month ago

KUELEKEA UCHAGUZI NAFASI ZOTE ZIPO WAZI KASORO MOJA YA URAIS AMBAYO NI YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN – MWENEZI MAKALLA

(✍🏻 na mwandishi wetu)  Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makalla awataka wana CCM kuhamasisha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kuchukua mikopo ya halmashauri kujikwamua kiuchumi, kuacha ....

News3 months ago

UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI – SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiw ....

News4 months ago

TUNDULISU AUNGANA NA CHADEMA KUANDAMANA

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameungana na Wafuasi wa Chama hicho maeneo ya Mbezi kibanda cha mkaa katika maandamano hayo ya leo kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa. Mbali na Lissu, ....

News6 months ago

RAIS DOKTA SAMIA ARIDHIA CHONGOLO KUACHIA NGAZI

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania&n ....

News6 months ago

Rais Dokta Samia afanya uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa bodi ya TCRA

Rais Dokta Samia Suluhu jioni hii amefanya uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa TCRA( Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania) Teuzi hizi zinafuatia hatua yake ya kufyek ....

News6 months ago

Zingatieni ubunifu,nidhamu na maadili – Waziri Mkuu Majaliwa

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma wafanye kazi kwa bidii, weledi, nidhamu, uadilifu na ubunifu ili kutimiza maono ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan y ....

News6 months ago

Serikali ina mahusiano mazuri sana na wafanyabiashara- Waziri Mwigulu

Serikali imesema inajenga uhusiano mzuri na wafanyabiashara kwa kutotumia fedha zilizopo kwenye mashauri yanayobishaniwa katika Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB) na Baraza la Rufaa za Kodi (TRAT) i ....

News6 months ago

Tanzania yapokea mkopo wa bilioni 32 kutoka Saudi Arabia

Tanzania imepokea mkopo wa dola milioni 13 sawa na shilingi bilioni 32 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Saudi kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Benaco hadi Kyaka mkoani Kager ....

News6 months ago

RAIS DOKTA SAMIA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA JUKWAA LA UWEKEZAJI AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheeshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marr ....