Habari za Mikoani

News6 hours ago

MRADI WA MCHUCHUMA NA LIGANGA KILIPWA FIDIA YA BILIONI 15 YALIPWA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka- amefanya ziara ya Kimkakati Wilayani Ludewa iliyolenga kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani humo sambamba na kusikiliza na kutatua kero za ....

News7 hours ago

KAMATI 115 ZIMEUNDWA KUFUATILIA UKATILI WA KIJINSIA

Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeunda kamati maalumu 115 za kufuatilia kwa karibu viashiria na kukomesha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa Watoto na wanawake katika jamii. Kauli hiy ....

News7 hours ago

SERIKALI KUNUNUA MITAMBO KUMI (10) YA UCHORONGAJI KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO

✔️Rais Samia aelekeza mitambo miwili kwa ajili ya wakina Mama na Vijana ✔️Waziri Mavunde agawa Leseni kwa wakina Mama wachimbaji Dutwa-Simiyu ✔️Awataka STAMICO kuendelea kuwasimamia na kuwaendele ....

News7 hours ago

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WANAOTEKELEZA AFUA ZA WANAWAKE

*Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu ....

News2 days ago

 MAJALIWA: MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM). ....

News3 days ago

SERIKALI HAITOZI KODI WANAOBEBA MIZIGO BINAFSI KATI YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dod ....

News3 days ago

WAZIRI JAFO AKIZUNGUMZIA MAFANIKIO YA MKUTANO WA NISHATI SAFI A KUPIKIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni ya muhimu ili kuokoa maisha ya watu na mazingira.&nb ....

News3 days ago

MKUTANO WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI (CISM) KUFUNGWA LEO NA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo Mei 17, 2024 atafunga Mkutano wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), hafla hiyo inafanyika kwenye ukumbi wa mi ....

News3 days ago

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA CANADA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Ahmed Hussen Ikulu Jijini Dar es S ....

News3 days ago

TARIME MJINI KUWEKWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI 

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema itaweka taa za kuongoza magari Tarime Mjini katika eneo la Jembe na Nyundo ili kupunguza ajali za barabarani zinazotokea mara kwa mara kwenye eneo hil ....