Biashara

News6 months ago

WARSHA YA UPANGAJI BAJETI UNAOZINGATIA USAWA WA KIJINSIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El- maamry Mwamba, amefungua warsha ya upangaji Bajeti unaozingatia usawa wa kijinsia wakati wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Usawa wa Kijinsia wa Kanda ya ....

News7 months ago

WAZIRI SAADA MKUYA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA IMF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, aameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa kwa n ....

News7 months ago

Basra Textile Mills ni Wahujumu uchumi na hatari kwa uchumi wa Tanzania

Wakati serikali kwa nia njema kabisa imeondoka VAT kwenye bajeti ya 2023 ,kwa bidhaa zote za nguo zinazotengenezwa kwa pamba ya Tanzania lakini kampuni ya BASRA TEXTILE MILLS LTD iliyoko Zanzi ....

News8 months ago

Serikali kupitia BoT kununua dhahabu tani sita(6)

Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza mpango maalum wa ununuzi wa madini ya dhahabu kwa lengo la kuongeza akiba ya nchi ya fedha za kigeni. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu ....

Newsa year ago

Tanzania iko imara kiuchumi- Fitch

Tanzania yawekwa kwenye viwango vya B+ na Fitch kwenye masuala ya uchumi na ikitanguliwa na viwango vya B vilivyowekwa na Moodys hapo awali. Tanzania inakuwa ni nchi pekee kwenye ukanda wa Afr ....

Newsa year ago

DP World yapewa bandari ya Dar Es Salaam

Bunge la Tanzania linajadili azimio la kuitaka serikali kuingia makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa bandari ya Dar Es Salaam. Kwa maumivu na utapeli uliofanywa na TICTS na akina Karamag ....

Newsa year ago

BoT kuna nini?

Kwa wiki ya pili sasa benki kuu ya Tanzania imeshindwa kuidhinisha malipo mbalimbali ya idara za serikali na wafanyakazi wa serikali sababu ikielezwa kuwa kuna changamoto ya mtandao. Ikumbukwe ....

Newsa year ago

Maroli yenye shehena ya mahindi yazuiliwa mpakani Holili

Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana muda huu kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa malol ....

Newsa year ago

Uhaba wa dola za kimarekani wainyemelea Tanzania ,BoT yachukua hatua

Benki kuu ya Tanzania imechukua na kuweka hatua kazi za biashara ya fedha za kigeni kufuatia upungufu wa dola kwenye soko la fedha la Tanzania. Moja ya sababu ni kuwa wakenya wamevamia soko la ....