Burudani

MATUKIO PICHANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye [...]

20 days ago
News20 days ago

MATUKIO PICHANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye ....

News2 months ago

OFISI YA WAZIRI MKUU YAOMBA KUIDHINISHWA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 350.9

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameliomba Bunge liweze kuidhinisha bajeti kwaajili ya Ofisi ya Waziri Mkuu, na taasisi zilizo chini yake katika mwaka wa Fedha 2024/2025, ya shilingi 350,988,412,00 ....

News2 months ago

TANZANIA NA BURUNDI ZAJADILIANA UJENZI WA SGR.

WAZIRI wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Miundombinu wa Burundi Mhe. Dieudonné Dukundane, kuhusu maendeleo ya Mradi wa Reli ya Kisasa SGR ....

News3 months ago

MWEKA HAZINA SERENGETI AKAMATWA, KWA UPIGAJI WA FEDHA

*Akiri alisafiri na begi lenye sh. milioni 189 kwa basi hadi Mwanza *Waziri Mkuu amwagiza RPC amchukue akiwa kikaoni, DPP afungue jalada la mashtaka WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kama ....

News3 months ago

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA TASAF ITOE KIPAUMBELE KWA KAYA MASKINI ZENYE WATU WENYE ULEMAVU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameutaka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuweka nguvu zaidi katika kuziingiza ....

News3 months ago

MAKAMU WA RAIS AFIKA MASAKI KUHANI MSIBA WA LOWASSA

Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akimfariji mjane wa  Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa ,Mama Regina Lowassa mara baada ....

News4 months ago

MWAROBAINI WA MIUNDOMBINU KOROFI SERENGETI WAPATIKANA

Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejiment ....

News4 months ago

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MIKUTANO YA NAM NA G77 + CHINA NCHINI UGANDA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim MajaliwaMajaliwa (Mb) anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa ....

News5 months ago

RC CHALAMILA AAGIZA KUFANYIKA UCHUNGUZI HARAKA KUBAINI CHANZO CHA MOTO MWENGE.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Decemba  05, 2023 amefika na kukagua athari zilizotokana na janga la moto katika eneo la Mwenge Wilaya ya Kinondoni usiku wa kuamkia ....

News6 months ago

GWARIDE LA HESHIMA – MONDULI

Gwaride la Heshima likipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan kabla ya kutunukiwa Kamisheni kwa Maafisa wanafu ....