Siasa
Narungombe,Ruangwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia [...]
RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DKT. SAMIA-MAJALIWA
Narungombe,Ruangwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia S ....
WASIRA- VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VIENDESHWE KWA KUZINGATIA MAHITAJI
Pwani MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu s ....
RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.
Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza k ....
RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
▪️Asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati. ▪️Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayeona na kusikiliza matatizo ya watu. ▪️Asema CCM itaendelea kuwahud ....
KWENYE URAIS TUMESHAMALIZA-MAJALIWA
_▪️Asisitiza Rais Dkt. Samia tunaye na tunaenda naye._ _▪️Asema Rais Samia ni mgombea aliyejipambanua kwa uhodari na uimara wake kiutendaji_ _▪️Amtaja Dkt. Nchimbi kuwa kiongozi mchapakazi na ana ....
WASSIRA: “HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU.”
Mwanza ▪️Wasira asema Uchaguzi Mkuu lazima ufanyike, Watanzania wajiandae ▪️Asisitiza wanaosema bila Katiba mpya hakuna uchaguzi wanajisumbua MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanza ....
WASSIRA: GARI NI INJINI SIYO BODI.
Geita ▪️Asema Umri wake si hoja wakaulize madaktari muhimbili Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewajibu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti wa chama hic ....
MBUNGE UMMY MWALIMU ASHIRIKI MKUTANO WA HADHARA WA MKOA TANGA KUUNGA MKONO MAAMUZI YA MKUTANO MKUU CCM TAIFA KUMPITISHA DKT SAMIA KUWA MGOMBEA URAIS 2025
* Amesema kwa mambo makubwa ya maendeleo yaliyotekelezwa Tanga Mjini wanaunga Mkono Maamuzi ya Mkutano Mkuu kwa asilimia 100 na watampa Dkt Samia kura za kishindo Octoba 2025 * makundi ya wana ....
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI
Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete ....
CCM YASHINDA 90.01% YA WENYEVITI WA VIJIJI CCM YASHINDA 90.01% YA WENYEVITI WA VIJIJI
Katika maeneo yaliyofanya uchaguzi terehe 27 Novemba, 2024 kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji ni 12,271 kati ya nafasi 12,280 zilizopaswa kufanya uchaguzi. Kati ya nafasi hizo, CCM imeshinda n ....