Habari za Mikoani

News4 days ago

RAIS DKT. SAMIA ASEMA KUMEKUWA NA ONGEZEKO LA UFANISI KATIKA RASILIMALI ZA SERIKALI MIAKA YA KARIBUNI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwa na ongezeko la ufanisi katika matumizi ya rasilimali za Serikali katika miaka ya hivi karibuni hali inay ....

News4 days ago

GST YAFANYA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA MADINI

Dodoma Mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita 2021-2025 Katika kipindi cha miaka minne cha Serikali ya Awamu ya Sita, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ime ....

News4 days ago

MAJALIWA AAGIZA: SERIKALI INATOA FEDHA, SIMAMIENI MANUNUZI YA DAWA

Mwanga,Kilimanjaro WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wasimamie vema fedha za ununuzi wa dawa zinazotolewa na Serikali na kuhakikisha zahanati na vituo vyo ....

News8 days ago

KONGAMANO LA KIIMANI KWA VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt , Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itahakikisha kuwepo kwa Utii wa Viongozi katika Utendaji wa Taasisi za Umma Ili kuepusha Mifarak ....

News8 days ago

WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA -MAJALIWA

WAZIRI MKUU,  Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto zinazohusu mas ....

News8 days ago

INEC YAONGEZA SIKU UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA DAR

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam ambapo sasa zoezi hilo litamalizika Machi 25 ....

News10 days ago

WIZARA YA UJENZI YAWASILISHA KWA KAMATI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/25

Dodoma Wizara ya Ujenzi imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na makadirio ya Mpango na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa Kamati ya Kudumu ....

News10 days ago

WAZIRI KIKWETE: VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI NGUZO YA MAHUSIANO MEMA  YA KAZI MAHALI PA KAZI

Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Vyama vya Wafanyakazi ni nguzo muhimu katika kujenga mahusiano yenye tij ....

News10 days ago

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI – MTUMBA

Dodoma ▪️Ujenzi wafikia  94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ....

News10 days ago

WAKAGUZI WASAIDIZI WA MADINI PAMOJA NA WASIMAMIZI WA MADINI UJENZI NA VIWANDANI  WAFUNDWA     

Dodoma                           WASIMAMIZI wa madini ujenzi pamoja na wakaguzi wasaidizi wa madini wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi na kuhakikisha wanafuata taratibu na sheria za nchi kati ....