RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA JENGO JIPYA NA LA KISASA LA AFISI KUU YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Jengo jipya na la kisasa la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) lililopo Maisa [...]