WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Waziri Mkuu anashiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000