Kigogo Media
Habari 100
KIGOMA KUWA KITOVU CHA FURSA ZA BIASHARA BAADA YA UJENZI WA SGR TABORA–KIGOMA : RAIS SAMIA ABAINISHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ina nafasi kubwa ya kuwa kituo kikubwa cha biashara barani Afrika kutokana na rasilimali na fursa ilizonazo. ....
WAZIRI MAVUNDE AANZA ZIARA RASMI KUKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI MKOANI GEITA*
▪️ Waziri Mavunde ni Mlezi wa shughuli za kimaendeleo mkoani Geita ▪️ Akagua mradi wa maji wa Bilioni 40 ambao utanufaisha watu 185,000 ▪️ Akagua mradi wa vijana wa ujenzi wa kiwanda cha kuchenju ....
VIJANA 400 WAPEWA LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI WILAYANI KWIMBA MKOANI MWANZA.
▪️Ni Maelekezo ya Rais Samia kufuta Leseni zisizo fanyiwa kazi na kuwapa wachimbaji wadogo ▪️Ni Leseni kubwa ya Utafiti (Ekari 5,441) iliyofutwa na kurudishwa Serikalini ▪️Waziri Mavunde aelekeza ....
MATUKIO PICHANI IKIWA NI SIKU YA 45/60 YA KAMPENI ZA CCM, GEITA
KATORO LEO Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katoro katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 13, 2025. #Kigogo ....
DKT. NCHIMBI ALIPOHITIMISHA KAMPENI ZA KUMUOMBEA KURA DK.SAMIA MKOANI TABORA
TUJIKUMBUSHE , MGOMBEA mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi amehitimisha mikutano yake ya hadhara ya kampeni katika Mkoa wa Tabora huku akiacha u ....






