Siasa

News21 days ago

MAKAMU WA RAIS AWASALIMU WANANCHI WA JIMBO LA CHAMWINO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana ya kuwa msaidizi ....

News21 days ago

RAIS SAMIA AMTAKA MAKAMU WA RAIS KUTUMIKIA NCHI KWA UAMINIFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, kuitumikia nchi kwa utii, uam ....

Newsa year ago

MATUKIO PICHANI IKIWA NI SIKU YA 45/60 YA KAMPENI ZA CCM, GEITA

KATORO LEO Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katoro katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 13, 2025. #Kigogo ....

Newsa year ago

DKT. NCHIMBI ALIPOHITIMISHA KAMPENI ZA KUMUOMBEA KURA DK.SAMIA MKOANI TABORA

TUJIKUMBUSHE , MGOMBEA mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi amehitimisha mikutano yake ya hadhara ya kampeni katika Mkoa wa Tabora huku akiacha u ....

Newsa year ago

RAIS DKT MWINYI ALIPOKUTANA NA KUNDI LA VIJANA WA UVCCM

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Vijana ....

Newsa year ago

HIZI HAPA AHADI ZA DKT. SAMIA  AMEHIDI GEITA VIJIJINI , AIGUSA SEKTA YA AFYA HUDUMA ZAIDI ZA MATIBABU NA VIPIMO 

GEITA Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendelea kusogeza huduma za afya karibu zaidi na ....

Newsa year ago

DAY 45/60 YA KAMPENI ZA CCM

KATORO LEO Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katoro katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 13, 2025. #KigogoM ....

Newsa year ago

HAYA NI MAFURIKO YA CCM 

(Day 4/60 ya kampeni za CCM) Wananchi wa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma wamefurika katika Viwanja vya Puma kumsubiri Mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt.Samia Suluhu Hassan ikiwa ni mwendelez ....

Newsa year ago

RAIS SAMIA AKIPIGA’SELFIE’ NA WANANCHI WA KIBAIGWA

Kibaigwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya ‘Selfie’ na maelfu ya Wananchi wa Kibaigwa M ....

Newsa year ago

RAIS MWINYI AMECHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA URAISI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugo ....