WAZIRI BASHE ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI AKIOMBOLEZA KIFO CHA HAYATI LOWASSA
Published on: a year ago
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ambaye pia alikuwa mtu wa karibu wa Hayati Edward Lowassa ambapo leo amefika nyumbani kwa Lowassa akishindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akibubujikwa na na machozi wakati akitoa heshima mbele ya jeneza lenye mwili wa Hayati Edward Lowassa .
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amejumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali kutoa pole kwa Familia na kuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa, tarehe 16 Februari 2024 katika kijiji cha Ngarash, Wilaya ya Monduli, Mkoani Arusha.
Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000