Tajiri wa Simba ahofia kufa kwa presha
Published on: a year ago
Kufuatia matokeo ya tia maji tia maji ya klabu ya Simba , tajiri wa wekundu hao wa Msimbazi bilionea MO ametahadharisha kuwa anaweza kuuwawa ghafla kwa pressure kali sana.
Hii ni kufuatia timu yake hiyo kucheza soka lisiloeleweka na kutegemea kanuni na mambo kama hayo ili kufuzu kwenye michezo ya kimataifa.
Kigogo Media tunatoa rai kwa wanasimba wote kuwa muwe waangalifu sana mtamuuwa tajiri!
Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000