SERIKALI KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA YA WAFUGAJI MARIWANDA.
Published on: 2 years ago
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewasili Katika Kijiji Cha Mariwanda, Wilayani Bunda, Mkoani Mara, na kuzungumza na Wananchi na kuahidi Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya Wafugaji.

Akiwa eneo hilo Waziri Mkuu pia amekabidhiwa Zawadi ya Ng’ombe wawili na wafugaji Wa eneo hilo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko Mkoani Mara Kwa ziara ya kikazi na kusikilizia na kuzipatia ufumbuzi kero za Wananchi Wa huko…

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000

