POLISI YAANZA UCHUNGUZI KUHUSU TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA RISASI OLE SENDEKA

Jeshi la Polisi limethibitisha kupokea taarifa ya Mbunge wa Simanjiro Mhe.Christopher Ole Sendeka na Dereva wake wakiwa safarini gari walilokuwa wanatumia kushambuliwa kwa risasi katika Kijiji cha Ngabolo Wilayani Kiteto na kwa bahati nzuri hakuna aliyepata madhara.

Aidha katika tarifa hiyo Polisi imeeleza kwamba tayari wanafutilia tukio na uchunguzi umeshaanza mara baada ya kupokea taarifa.

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000