MBOWE ASEMA MANDAMANO YANAZINGATIA AMANI NA UTULIVU.
Published on: a year ago
Mwenyekiti wa Chama Cha Demoklasia na Maendeleo CHADEMA FREEMAN MBOWE amesema Maandamano yanayofanywa na wanachama wa Chama hicho katika maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam ni ya Amani na utulivu.
Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000