MAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI LOWASSA
Published on: a year ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam
ambapo anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho
kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa.
Tarehe 13 Februari 2024.

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000