MAKAMU WA RAIS AFIKA MASAKI KUHANI MSIBA WA LOWASSA

Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango  akimfariji mjane wa  Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa ,Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Leo Tarehe 11 Februari 2024.

Picha ya pili ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango akimfariji mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa , Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.

Picha kwa hisani ya ofisi ya Makamu wa Rais

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000