MAJALIWA ASEMA: SERIKALI YENU IPO IMARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati 

Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli za kujiingizia kipato.

Amesema hayo leo Juni 02, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Katoro uliopo mkoani Geita.

“Miradi hii ni ile ya huduma za kijamii ambayo watanzania, wanakatoro kila siku lazima muiguse, Serikalo imejikita hapo”.

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000