KIKO WAPI WANAHARAKATI UCHWARA

Aina ya ujinga na upumbavu wa Maria Sarungi na wafuasi wake inatia kinyaa sana! Waziri Mkuu aliwaambia nini kuhusu Makamu wa Rais? Mnafanya harakati za kijinga sana ili tu kuleta taharuki na kusema kasema uongo!

Unatoa mfano wa Magufuli! Kwani wewe Maria ukiongea asubuhi hii na baba yako ambaye ni mgonjwa na tia maji tia maji muda wowote parapanda litalia na jioni ukiambia kang’ata shuka utasema wewe ni muongo? Kwani kifo kina fomula?

Hili roboti lako nalo eti familia ya Dr Mpango imechoka? Imechoka kufanya nini? Tafuteni kazi za kufanya HARAKATI za hivi ni upuuzi na ujinga sana kufanya na mnadhalilisha sana wazazi wenu.

HAYA tuelekee Ikulu ya Chamwino ili mkaaibile vizuri na huu uzushi wenu. Huyu aliyeko kanisani Dodoma ni nani? Niko madhabahuni na Nawaacha na neno kutoka YEREMIA 1:11

#KigogoMediaUpdates

Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000