Siasa

News23 days ago

CCM YASHINDA 90.01% YA WENYEVITI WA VIJIJI CCM YASHINDA 90.01% YA WENYEVITI WA VIJIJI

Katika maeneo yaliyofanya uchaguzi terehe 27 Novemba, 2024 kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji ni 12,271 kati ya nafasi 12,280 zilizopaswa kufanya uchaguzi. Kati ya nafasi hizo, CCM imeshinda n ....

News24 days ago

WAZIRI MKUU APIGA KURA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA

Nandagala,Ruangwa  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kitu ....

Newsa month ago

TUNATAKA MAENDELEO KWA AJILI YA WATU WETU – DKT. BITEKO

Namonge Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema katika Uchaguzi wa Serikal ....

Newsa month ago

CCM HATUCHEKI NA MTU KATIKA KUSHIKA DOLA,TUMEJIPANGA- CPA MAKALLA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi ....

Newsa month ago

UMMY AENDELEA KUWANADI WAGOMBEA WENYEVITI WA MITAA KATIKA KATA NNE ZA TANGA MJINI

Tanga Mjini Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mhe Ummy Mwalimu tarehe 22/11/2024 amehudhuria mikutano ya kampeni za wagombea nafasi ya uenyekiti wa Mitaa katika kata 4 za Jimbo la Tanga Mjini am ....

Newsa month ago

“CHATO MSIFANYE MAKOSA KUCHAGUA VYAMA VINGINE,”-DKT. BITEKO

Chato,Geita Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wananchi wa Chato ....

Newsa month ago

 DKT.DIMWA AZINDUA KAMPENI ZA CCM LEO KATAVI

MLEZI wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amewasihi wananchi wa Mkoa wa Katavi bila kujali tofauti za kisiasa,kidini n ....

Newsa month ago

KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHIMBI AWASILI FURAHISHA KWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MWANZA

Mwanza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampen ....

Newsa month ago

MHE. MCHENGERWA: RUFAA 5,589 ZA WAGOMBEA ZIMEKUBALIWA

Dodoma  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kati ya rufaa 16,309 za wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi w ....

Newsa month ago

CCM TUMEWEKEWA MAPINGAMIZI, TUNAAMINI HAKI ITATENDEKA

_Makalla awataka wanachama katika maeneo hayo kuwa watulivu_ _Akemea vyama vya upinzani kufanya hadaa na kupotosha umma kuhusu mapingamizi_ _Asema hata CCM imewekewa mapingamizi, kinafuata tar ....