Michezo
Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira [...]
MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.
Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira w ....
MASHINDANO KNK CUP 2024 YAHITIMISHWA, MABINGWA WA BUKOMBE, KARAGWE KUCHUANA
Bukombe Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wi ....
WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika halmashauri zao na waviweka kwenye mipango ya maendeleo. “Nen ....
NIGERIA NA IVORY COAST ZATINGA FAINALI ZA AFCON
Hatimae Mabingwa mara tatu wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Nigeria wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Afrika Kusini. Ivory Coast, wen ....
TASWIRA MPYA YA UWANJA WA AMAANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kujenga uwanja mpya mwingine wa kisasa ambao utatumika katika mashindano ya AFCON ....
TAHADHARI ZA KIUSALAMA KUELEKEA MCHEZO WA SOKA KATI YA SIMBA NA YANGA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatambua kuwa Novemba 05, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam kutakuwa na mchezo wa sokamashindano ligi ya NBC baina timu ....
Tajiri wa Simba ahofia kufa kwa presha
Kufuatia matokeo ya tia maji tia maji ya klabu ya Simba , tajiri wa wekundu hao wa Msimbazi bilionea MO ametahadharisha kuwa anaweza kuuwawa ghafla kwa pressure kali sana. Hii ni kufuatia timu ....
Klabu ya Simba yafuzu kwa tabu sana.
Klabu ya Simba pamoja na kufuzu kwenda hatua ya makundi kwa kuchechemea lazima tukiri kuwa ni timu dhaifu sana na bomu inatocheza mpira kwa kubahatisha. Kwa kilichotokea leo ni kama Simba ni t ....
Kaizer Chiefs watembelea Ikulu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dokta Hussein Mwinyi ameushukuru uongozi wa klabu ya Yanga kwa kuileta timu ya mpira wa miguu ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Ku ....
Yanga hakuko shwari
Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka ndani ya kikao cha uongozi wa Yanga ni kwamba Rais wa Yanga Injinia Hersi amesusa na kutoka kwenye kikao baada ya mjumbe mmoja wa kikao hicho kumtuhumu ....