Habari za Mikoani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Jengo jipya na la kisasa la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) lililopo Maisa [...]
RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA JENGO JIPYA NA LA KISASA LA AFISI KUU YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Jengo jipya na la kisasa la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) lililopo Maisar ....
RAIS MWINYI NA AFRICA SUMMIT 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuwa daraja muhimu la kuiunganisha Afrika na Ulimwengu katika masuala y ....
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MABARAZA HURU YA HABARI AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema wakati umefika kwa wanahabari wa Kiafrika kuonesha taswira nzuri ya Bara la Afrika kwa kuandik ....
MRADI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME KILOLENI MKOANI TABORA UMEFIKIA ASILIMIA 80 -MD TWANGE
Tabora Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Kiloleni kilichopo Mkoani Tabora ambapo amesem ....
MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI HISPANIA KUMWAKILISHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 29 Juni 2025 amewasili nchini Hispania ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz ....
TUTAENDELEA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NCHINI-MAJALIWA
*Asema falsafa ya 4R ya Rais Dkt. Samia imekuwa msingi imara wa kulinda amani. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchi ....
BUNGE LARIDHIA MAREKEBISHO YA MPAKA WA HIFADHI YA TAIFA NYERERE.
Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka na kuwezesha shughuli za maendeleo kuendelea katika mazingira rafiki k ....
DODOMA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA USAFISHAJI WA SHABA
Dodoma ▪️Kiwanda cha Shengde chakaribia kuanza uzalishaji rasmi mwezi Julai Mkoa wa Dodoma unajiandaa kuandika historia mpya katika sekta ya usafishaji wa madini, kufuatia hatua za mwisho za uj ....
RAIS MWINYI AWASILI JIJINI DODOMA
Dodoma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, ambapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa w ....
WAZIRI MKUU: TANZANIA SIYO MAHALI SALAMA KWA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa wasambazaji na wauzaji wa dawa za kulevya kwamba Tanzania siyo mahali pa kufanyia biashara zao. Waziri Mkuu ambaye amefunga maadhimisho ya Siku ya K ....