Burudani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya [...]
SERIKALI YATOA 3.5bn KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya K ....
WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla ametoa wito kwa taasisi, asasi na mashirika binafsi kuimarisha ushirikiano na Wakala hiyo katika masuala yanayohusu vipimo kwa nyan ....
TANZANIA YAUNGA MKONO AGENDA ZA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI ZA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA USALAMA WA MAENEO YA UTALII
Zambia TANZANIA YAUNGA MKONO AGENDA ZA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI ZA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA USALAMA WA MAENEO YA UTALII Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Sh ....
SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA MAJENGO YA UTAWALA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ataendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuimarisha majengo ya utawala kwenye halmashauri zote nchini ikiwemo na ya wila ....
WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA AZINDUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE – GEITA
Na mwandishi wetu Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa leo tarehe 02.06. 2024 ameweka jiwe la msingi la jengo la utawala la halmashauri ya wilaya ya Nyangh’hwale ambalo ujenzi wake umefikia 85% za ....
CDE. MBETO : AMTAKA JUSSA KUACHA SIASA ZA KIHARAKATI.
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo Khamis Mbeto Khamis, amewataka viongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo kuacha upotoshaji juu ya mchakato wa zabuni za makampuni ....
CCM YAZINDUA KAMPENI UCHAGUZI MDOGO KWAHANI ZANZIBAR.
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi Wananchi wa Jimbo la Kwahani kufanya maamuzi sahihi ya kumchagua mgombea aliyesimamishwa na CCM kwani ....
SERIKALI IMEANDAA SHERIA YA KUSIMAMIA BEI ZA BIDHAA NA HUDUMA
Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko.Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naib ....
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI SADC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ....