Biashara

Newsa month ago

NAIBU KATIBU MKUU MDEMU APONGEZA JITIHADA WANAWAKE KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Felister Mdemu amepongeza juhudi za wanawake katika kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbalimb ....

News5 months ago

RAIS SAMIA ATAKA WIZARA YA KILIMO KUNUNUA MPUNGA KWA BEI YA SHILINGI 900 KUTOKA 570.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Kilimo kupitia Wakala wa Uhifadhi wa Chakula (NFRA) kununua mpunga kwa bei ya Shilingi 900 kutoka 570 ....

Newsa year ago

WARSHA YA UPANGAJI BAJETI UNAOZINGATIA USAWA WA KIJINSIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El- maamry Mwamba, amefungua warsha ya upangaji Bajeti unaozingatia usawa wa kijinsia wakati wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Usawa wa Kijinsia wa Kanda ya ....

Newsa year ago

WAZIRI SAADA MKUYA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA IMF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, aameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa kwa n ....

Newsa year ago

Basra Textile Mills ni Wahujumu uchumi na hatari kwa uchumi wa Tanzania

Wakati serikali kwa nia njema kabisa imeondoka VAT kwenye bajeti ya 2023 ,kwa bidhaa zote za nguo zinazotengenezwa kwa pamba ya Tanzania lakini kampuni ya BASRA TEXTILE MILLS LTD iliyoko Zanzi ....

Newsa year ago

Serikali kupitia BoT kununua dhahabu tani sita(6)

Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza mpango maalum wa ununuzi wa madini ya dhahabu kwa lengo la kuongeza akiba ya nchi ya fedha za kigeni. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu ....

News2 years ago

Tanzania iko imara kiuchumi- Fitch

Tanzania yawekwa kwenye viwango vya B+ na Fitch kwenye masuala ya uchumi na ikitanguliwa na viwango vya B vilivyowekwa na Moodys hapo awali. Tanzania inakuwa ni nchi pekee kwenye ukanda wa Afr ....

News2 years ago

DP World yapewa bandari ya Dar Es Salaam

Bunge la Tanzania linajadili azimio la kuitaka serikali kuingia makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa bandari ya Dar Es Salaam. Kwa maumivu na utapeli uliofanywa na TICTS na akina Karamag ....

News2 years ago

BoT kuna nini?

Kwa wiki ya pili sasa benki kuu ya Tanzania imeshindwa kuidhinisha malipo mbalimbali ya idara za serikali na wafanyakazi wa serikali sababu ikielezwa kuwa kuna changamoto ya mtandao. Ikumbukwe ....

News2 years ago

Maroli yenye shehena ya mahindi yazuiliwa mpakani Holili

Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana muda huu kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa malol ....