admin
Habari 100
MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAJOELINA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumamosi, Desemba 16, 2023) ameungana na Marais kutoka nchi sita barani Afrika kwenye sherehe za kumuapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina. Waziri Mk ....
MHE. KAIRUKI AZINDUA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA WANYAMAPORI NA MPANGO WA USIMAMIZI WA TEMBO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua Mkakati wa Utekelezaji wa Sera ya Wanyamapori 2023 – 2033 na Mpango wa usimamizi wa Tembo Tanzania 2033 – 2033, lengo ikiwa ....
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AMUWAKILISHA DKT SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA JUWAUZA.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025, imeweka Sera na Mik ....
HAYATI BABAB WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUPEWA TUZO YA KISWAHILI DUNIANI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali itazindua Tuzo ya Kimataifa ya Kiswahili kwa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ili kuenzi mchango wake katika ....
RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA NACTE NA KUTOA AGIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiagizaWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kushirikiana na Wizara ya Habari, Mawasilianona Teknolojia ya Habari kuendelea ....