Kigogo Media
Habari 100
WAZIRI MKUU: WATOTO WAPELEKWE SHULE, MSIRUHUSU WAUZE MAANDAZI, KARANGA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka wazazi wahakikishe wanawaandikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule badala ya kuwaac ....
RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI MAISARA SPORTS COMPLEX
Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kujenga kiwanja chengine kikubwa cha kisasa chen ....
RAIS MWINYI: UJENZI WA FLYOVER NI MWENDELEZO WA KUKAMILISHA AHADI.
📍Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) ni mwendelezo wa kukamilisha ahadi na utek ....
WAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA MAJI KISESA, MWANZA.
Mwanza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la kuhifadhi maji la Kisesa, mkoani Mwanza ikiw ....
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA
Mogadishu,Somali 🇹🇿🇸🇴 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) akisalimiana Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassa ....