ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA
Dodoma Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema vinaweza kufuta mazuri yote a [...]
RAIS MWINYI AKUTANA NA TUME YA MABORESHO YA KODI
IKULU,Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Zan ....
KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI KUNATAJWA KUWA MWANGA MPYA BIMA YA AFYA
Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uanga ....
WANAFUNZI WENYE UFAULU KATI YA 121 – 300 WOTE WAMEPANGIWA SHULE
Dodoma Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka, 2025 umezingatia kigezo cha ufaulu wa mtahiniwa anayechaguliwa. Kila mtahiniwa aliyefanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msin ....